Msanii wa Bongo Flava Diamondplatnumz adondosha udenda kwa Bilionea Leizer, "Unawezapishana nayo site ukiwa unajenga, ukazani mimawe tu ukayasomba na kuyaeka kwenye kifusi, kumbe mabilioni, doh!... kweli kila mtu na taaluma yake" ameandika msanii Diamond Platnumz.
Hivi ukipata nafasi ya kukutana na Bilionea Laizer, utamwambia kitugani??
Comments
Post a Comment