AKUDO IMPACT IMERUDI KWA KISHINDOOO BAADA YA KUFANYA SHOO MIKOANI.....




 Wanamuziki wa akudo impact warudi kwa kishindo baada ya kutoka kufanya shoo nyingi mikoani akizingumza na mtandao huu rais wa akudo impact tarsis masela amesema bendi iko vizuri sana na watu wasiamini maneno ya uongo yanayovumishwa kuhusu bendi hiyo na wamekuja kufanya mapinduzi na kuja kuzindua na kutambulisha nyimbo zao mpya kama ubinadamu kazi na nyingine nyingi na kuja na style mpya ya uchezaji katika ukumbi wa msasani beach club na sikukuu zote watakuwa msasani kwa kiingilio cha sh 5000/=na watoto 2000/= tu fikeni kwa wingi kuipa sapoti bendi yenu











Comments