Picha,Mashabiki wafurahia mwili mpya wa Rihanna…..

Mashabiki wameonyesha kufurahia mwili mpya wa msanii wa rnb na pop Rihanna.
Wiki hii Rihanna alipigwa picha akiwa mjini New York City, jeans zimebana na kuvalia T Shirt yenye picha ya msanii mkubwa Buju Banton anayefanya naye kazi kwa sasa.

Comments