HUYU NDO MKE WA LUDACRIS...CHEKI HIZI PICHA

Ludacris
Hajakawiza…!! Hii kaamua kuifanya kimya kimya…
Wiki mbili baada ya Ludacris kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wakiwa ndani ndege ambayo walikodi kwenda zao Costa Rica kuenjoy, mpya kabisa ni kwamba sasa hivi yeye ni ‘Mr. Ludacris‘.
Maisha ya usela yaliachana na yeye kabla ya kusherehekea siku ya Mwaka mpya wa 2015, Ludacris aliweka picha siku ya jana January 06 kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na mke wake Eudoxie, halafu akaandika hivi; “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges.“– @ludacris
Ujumbe huo ulikuwa pamoja na picha hii.
lUDACRIS Married
Luda II

Comments