Naambiwa yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi kwa hiyo kama unaamini hii ni yako kwa sababu unavyo vigezo vyote usisite kwa nini uiache ipite?
Na tatiba ya usaili nimepewa kabisa kwamba Mwanza itakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri, Arusha ni tarehe 12/09/2014 Mbeya na Iringa tarehe 16/09/2014 alafu Dar es salaam itakua tarehe 19/09/2014 ambapo sehemu itakapofanyikia pamoja na muda utatangaziwa baadae lakini kama unahitaji maelezo zaidi piga hizi namba 0655441165/0713302075
Comments
Post a Comment