KIM KARDASHIAN AWA MWANAMKE WA MWAKA BAADA YA KUPIGA PICHA ZA UTUPU KATIKA JARIDA LA GQ
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Jarida la GQ Limetoa picha za super model Kim Kardashian zitakazo wekwa kwenye toleo jipya ambalo Kim ametajwa kuwa mwanamke wa mwaka. Kim ambaye ni mke wa rapper Kanye West amepozi bila nguo huku akificha baadhi ya sehemu kwenye mwili wake.
Comments
Post a Comment