KUWA WA KWANZA KUONA VIDEO YA VICTORIA KIMANI FT DIAMOND NA OMMY DIMPOZ

9
Victoria Kimani ameandika kwenye instagram kwamba anahesabu siku tu hadi video hii itakapo toka rasmi. Video hii ilifanyika kwenye maeneo mbalimbali ya Tanzania chini ya director mkenya Kevin Bosco.

Comments