Warembo hawa wawili penny na wema walikuwa katika bifu zito na la mda mrefu kisa kikiwa ni penny kuingilia penzi lao.
Wema mimi nimemsamehee penny kwa moyo wote na yalipita yamepita na hata nikikutana nae nitamsalimia kama kawaida kwani mimi ni mtoto wa kiislamu natakiwa kusamehee na ninafunga so nataka mungu apokee swaumu yangu vyema.
Penny alisema haya kwa upande wake kuwa yeye hamekubali matokeo na aliongeza kuwa siwezi kumchukia wema,ila najua hatuwezi kuwa marafiki kama mwanzo.
Comments
Post a Comment