STEVE NYERERE:MIMI SIYO SHOGA.... on July 15, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Steve nyerere msanii wa bongo movi na mwenyekiti wa bongo muvi amesikitika kutokana na maneno yanayosemwa kuwa yeye ni shoga. Aliongeza kusema mimi namwachia mungu ila wajue mimi si shoga kwani nina familia na watoto kwanini mnanichafua jamani. Comments
Comments
Post a Comment