FLOYD MAYWEATHER AMNUNULIA GIRLFRIEND WAKE GARI LA THAMANI YA SH MIL 600 KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY....
Bingwa wa boxing duniani na mmoja kati ya wanamichezo wanaolipwa mkwanja mrefu duniani Floyd Mayweather amemnunulia zawadi girlfriend wake BadMedina hata kabla ya siku ya birthday aijafika.
Alipost picha za gari instagram na kuandika hivi"I know your birthday is on 27th July but here is an early birthday girf@BadMedina..
Ila mchezaji huyo ana tabia wanapoachana na mpenzi wake basi umpokonya kila kitu alichompa hii ilimtokea ex girlfriend wake Shantel Jackson ambae alipokonywa kila kitu alichopewa na bwana huyo.
Gari lenyewe ni Custom Phantom Rolls Royce.
Comments
Post a Comment