HII NDIYO ORODHA YA MAJINA YA WACHEZAJI 10 BORA WANAOWANIA TAJI HILO.
Kiungo timu ya taifa argentina Angel Fabian Di Maria Hernandez..
Beki wa timu ya taifa Ujerumani..
Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi...
Kiungo wa timu ya U erumani Toni Kroos
Beki mkabaji wa timu ya taifa Ujerumani Phillipp Lahm.
Kiungo wa timu ya Argentina Javier Mascherano...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya UjerumaniThomas Muller
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar..
Mshambuliaji timu ya taifa ya Uholanzi Arjen Robben...
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Colombia James Rodriguez...
Comments
Post a Comment