DAVIDO AWAJIBU WATU WANAOSEMA KUWA YEYE ANAJIONYESHA...



 
Mwanamuziki anaefanya vizuri Africa Davido amessema ajali watu wanavyoongea kuwa anajionyesha ila anachojali kuwa vyote anavyoweka ni mali zake na kuongeza kuwa si lazima mtu amfollow katika page zake kwani yeye amfatilii mtu maisha yake.


Comments