BREAKING NEWS:MAITI ZILIKAUSHWA YATUPWA KWENYE MIFUKO YA RAMBO ENEO LA BUNJU JIJINI DAR-ES-SALAAM..








 
Maiti za watu zakutwa zikiwa zimetupwa katika eneo la bunju jijini dar es salaam.mpaka mda huu tunaondoka gari la polisi liliichukua miili hiyo kwa ajili ya uchunguzi zaidi. 
Habari na ripoti kamili zitaletwa na kamanda wa jeshi la polisi wa mkoa wa Dar es salaam.

Comments