Kwa mara nyingine tena msanii anekimbiza katika tasnia ya muziki na filamu zuwena mohamed a.k.a shilole ama shishi baby amedumbukia katika penzi la mbongofleva nouh mziwanda.na bwanamdogo huyo amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na shilole na kutamani awe mkewe wa ndoa pasipo kujari tofauti ya umri...
Comments
Post a Comment