MSANII HUYU NDIYE ANAYEONGOZA KWA SWAGGER NA KUVAA...
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Jackline wolper a.k.a wolpergambe ni msanii pekee wa kike anaeongoza kwa swagger,kuvaa na kutengeneza nywele bila ya kuangalia zina gharama gani ili mradi yeye awe smart mbele ya jamii pasipo kurudia nguo anazovaa.
Comments
Post a Comment