UWOYA ATHIBITISHA KUWA MPENZI WA MSAMI... on May 30, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Irene uwoya amethibitisha kuwa na uhusiano na mbongo flava kupitia kipindi cha "u head" cha clouds fm radio alisema awezi kuachana na msami kwani mapenzi yake na msami ni ya mda mrefu na awawezi kuachana kwani wanapendana sana.kwasababu anampa kila atakacho.. Comments
Comments
Post a Comment