PICHA ZA GARI ALILOPATIA AJALI GEORGE TYSON...

Marehemu george tyson akiwa na dj choka enzi za uhai wake.

hapa akiwa na mboni

gari lilipoteza maisha ya george tyson ambae alikuwa producer wa kipindi cha the mboni show,na vipindi vingi mbalimbali.katika ajali hiyo walikuwa watu 8 ila alipoteza maisha yeye mwenyewe huku wenzie wakipona wakiwa wamepata majeraha mbalimbali.tukumbuke kuwa george alikuwa mume wa ivon chery a.k.a monalisa





Comments