Msanii wa muziki wa kizazi kipya makamua anategemea kuachia video ya nyimbo yake mpya iitwayo nitakulinda aliyomshirikisha msanii mwenzie joslin.makamua aliongea na mwandishi wa blog hii na kusema kwa sasa yuko katika maandalizi ya video hiyo ambayo anataka iwe tofauti na alizowai kufanya kipindi cha nyuma.tukumbuke kuwa msanii huyu yupo katika kundi la wakali kwanza linaundwa na yeye mwenyewe,joslin na wengine.kwa wale mashabiki wa makamua kaeni mkao wa kupokea mzigo mpya.big up sana kwako makamua....

Comments
Post a Comment