Tabia mbaya ya miss ruvuma 2006 isabela mpanda imekuwa kero kwa baadhi ya watu na kudhiilisha kuwa yeye hamna baada ya kuvua nguo na kuonyesha nyeti zake mbele za watu bila kujari watu wanavyomshangaa.tukio ili lilitokea alhamis iliyopita katika ukumbi wa mawela sinza ambapo kulikuwa na shughuli ya kitcheni party ya muigizaji vanita omary.isabela alikuwa tilalila na alikuwa akicheza muziki huku akipandisha kigauni chake juu na kuacha sehemu za siri kuoneka na makalio pia kutoka na kuvaa nguo ya ndani iitwayo bikini.kazi kwelikweli...

Comments
Post a Comment