HUYU NDIE MWANAMUZIKI PEKEE WA KIUME ANAEFANYA VIZURI KATIKA TASNIA YA FILAMU...



 qchilla akiwa na jb,prof jay na marehemu adam

Mwanamuziki q chillah ni mwanamuziki pekee anaefanya vizuri katika tasnia ya filamu na muziki pia.muvi nyingi anazofanya qchillah ni muvi nzuri na huwa akosei katika kazi zake toka alipoanza kufanya bongo muvi.big up sana qchillah..

Comments