WEMA SEPETU AJUTIA TENA KUTUMIA MKOROGO





wema sepetu ambae ni mmiliki wa endeless fame,ambae alikuwa miss tz 2006.pia ni muigizaji maarufu hapa nchini amejikuta akijutia tena kwa kutumia mikorogo kwenye mwili wake.
Ambacho chanzo chetu ambacho kipo karibu na star huyu kiliamua kututonya na kusema mrembo huyo anajutia sana kwa kujikoboa na kuongeza kuwa mwili wa wema ni wa kichina kwa asilimia kubwa.

Comments