MTANGAZAJI HUYU AMDHALILISHA MKURUGENZI WA TWANGA PEPETA


Kesi ya mtangazaji maimartha wa jesse na mkurugenzi wa the african international 'twanga pepeta'.Asha baraka ametakiwa kupeleka ushaidi mahakamai kwa kile kinachodaiwa na mkurugenzi uyo kuwa anapenda kumdhalilisha mara kwa mara kwenye vyombo vya habari.kupitia mtandao huu umpata maimartha na alisema 'Asha baraka anataka nimlipe milioni 5 sasa sijui hizo pesa za nini na itakuwaje maana kama kudaiana  na mimi ntamdai kimwana wangu ambae ni mary kimwana anaechezea twanga pepeta.


Comments