MSANII TID KUFANYA COLLABO NA MREMBO WA ETHIOPIA





Msanii tid a.k.a mnyama ametangaza kufanya collabo na mrembo kutoka ethiopia anaeitwa Azeb wendwosen.(pichani).kupitia blog yetu tid alisema kuwa atatoa taarifa kamili kuhusu ratiba nzima kuhusu kazi hiyo hivi karibuni na hakutaka kutaja jina la nyimbo hiyo.endelea kupitia blog hii ili uweze kujua ni nini kitafanika kuhusu nyimbo hiyo...........................

Comments