DIAMOND ATOLEWA MFANO NA RAIS WA JAMUHURI YA TANZANIA





Rais jakaya mrisho kikwete alimtolea msanii diamond platinumz a.k.a sukari ya warembo kuwa ni mtu mwenye nidhamu akiwa kazini na ndo maana ameweza kufika hapo.aliyazungumza hayo jana katika ukumbi wa diamond jubilee jijini dar-es-salaam katika semina ya fursa iliyoandakiwa na clouds fm............

Comments