Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini, ambapo atahudhuria mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu wa Julai 29 ambao utampitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
“Nataka kuwaambia Watanzania kwamba baada ya safari karibu miaka mitatu ya kujaribu kupona, sasa niko tayari kurejea nyumbani nitakuwa nyumbani kwenye Baraza Kuu la CHADEMA na kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa CDM, nimeomba ridhaa ya kuwa Rais” Tundu Lissu
Comments
Post a Comment