KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael ameibuka na kusema kuwa hana presha na Simba kuwafuata katika Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la FA kwa kuwa tayari ameshawaandalia dawa.
Mbelgiji huyo ametoa kauli hiyo muda mchache baada ya Simba kuifunga Azam FC mabao 2-0 katika mchezo wa Kombe la FA uliopigwa juzi Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ambapo nusu fainali ya wababe hao inatarajiwa kupigwa Julai 12, mwaka huu.
Unahisi Nani Atashinda Mechi Hiyo? Yanga au Simba?
Comments
Post a Comment