KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa alikuwa anataka akutane na Yanga, ndiyo sababu ya kuwafunga wapinzani wao, Azam FC, juzi.
Simba iliifunga Azam mabao 2-0 na kufanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la FA ambapo watakipiga na Yanga, Julai 12, 2020
Unahisi SIMBA watapata Wanachokitaka???
Comments
Post a Comment