Rais Magufuli amemtea aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi mkoani Rukwa hapo jana, Albinus Mgonya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero akichukua nafasi ya Mohamed Musa Utaly.
Aidha, amemteua aliyekuwa Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro, Waziri Khachi Kombo kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo akichukua nafasi ya Wendi Ng’ahala.
Comments
Post a Comment