kwenye Maandishi ya historia katika soka tokea imeanzishwa ligi ya kuu tanzania bara mwaka 1965 #simba iliyokuwa ikifahamika kama #sunderland ndio iliyokuwa timu ya kwanza kuchukua kombe la ligi kuu #TanzaniaBara na wanalichukua kwa misimu miwili mfululizo.
ORODHA KAMILI YAMABINGWA WA LIGI KUUTANGU 1965:
1965 Sunderland
(Simba)
1966 Sunderland
(Simba)
1967 Cosmopolitan
1968 Yanga
1969 Yanga
1970 Yanga
1971 Yanga
1972 Yanga
1973 Simba
1974 Yanga
1975 Mseto
1976 Simba
1977 Simba
1978 Simba
1979 Simba
1980 Simba
1981 Yanga
1982 Pan Africans
1983 Yanga
1984 Simba
1985 Yanga
1986 Tukuyu Stars
1987 Yanga
1988 Coastal Union
1989 Yanga
1990 Simba
1991 Yanga
1992 Yanga
1993 Yanga
1994 Simba
1995 Simba
1996 Yanga
1997 Yanga
1998 Yanga
1999 Mtibwa Sugar
2000 Mtibwa Sugar
2001 Simba
2002 Yanga
2003 Simba
2004 Simba
2005 Yanga
2006 Yanga
2007 Simba
2007/08 Yanga
2000-09 Yanga
2009-10 Simba SC
2010-11 Yanga
2011-12 Simba SC
2012-13 Yanga
2013-14 Azam FC
2014-15 Yanga
2015-16 Yanga
2016-17 yanga
2017-18 *simba*
2018-19 *simba*
2019-20 *simba*
*HISTORIA* *YANGA vs AZAM.*
Wakutana mara 28.
Yanga kasinda mara 10.
Azam mara 10.
Sare mara 8. *Simba vs Yanga*
Katika historia ya ligi kuu.
Match 93.
Simba kashinda mara 25.
Yanga kashinda mara 35.
Sare 33.
Comments
Post a Comment