Simba Bado Pointi 3 Kuchukua Ubingwa

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA LIPULI - Lemutuz Blog
Kikosi cha Simba kina matumaini ya kupata pointi  3 thidi ya Tanzania Prisons hapo keshokutwa..
Pointi 3 hizo zitaifanya Simba Sports Club kuibuka na ubigwa wa ligi kuu ambapo itakuwa ni mara tatu mfulizo .

Kwasasa club hii ina jumla ya pointi 78 ikiwa imecheza michezo 31 kati ya michezo 39 ikiwa  imeshinda mechi 25, ikitoka suluhu mechi3 na ikipoteza mechi 3.

Huku ikiwa imebakiza mechi 8 tu ili ligi iishe.

Comments