Mwanamziki wa kizazi kipya Gift Stanford alimaarufu kama Gigy Money ametupia leo picha ya nusu utupu na kurusha kijembe kwa watu wenye maumbile manene.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alisema "siyo unakaa na mwili kama duara 0 yaani ueleweki mbele wapi nyuma wapie eti kisa minyama uzembe 🤣 ondoa minyama ambayo ayana maana mwilini"

Comments
Post a Comment