Maneno yamekuwa mengi juu ya mtangazaji pendwa @divatheebawse Kumekuwa na uvumi wa Mrembo huyo kutimuliwa Clouds Fm, hukuzikiambatanishwa sababu nyingi sana.
Siku ya leo mrembo Mrembo Diva, mwenye sauti ya kumtoa nyoka huko aliko jificha, amethibitisha kurudi mzigoni kama kawaida.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva ameandika "Diva is Back , after a long healing Period Sasa ni The Return Of The Queen .. Diva , Bilionea wa Ala Zinazogusa Roho Yako ... Jumatatu on @cloudsfmtz 4:30 Mpaka 7 Kamili za Usiku .. It's Gonna Be That Bumpy Ride ♥️♥️ Sauti Yake Ndio Signature Yake ..Ukiisikia Utaitambua ... ukweli Wake ndio nguvu yake akiusema Utakushtua ... Huyo Ndio Diva.... The Queen is Back Yo!! Je Mtaambia nini watu??! stay ready ♥️♥️" Je, nikitugani ulimiss kutoka kwa malkia Diva, kutokana na kutosikika hewani kwa wiki kadhaa?
Comments
Post a Comment