Marekani: Magari yapambwa na 'wafu' katika maonyesho


Magari zaidi ya 150 ya zamani yalipambwa na sanamu za kutisha kuadhimisha maonyesho ya magari ya Halloween (12th Annual Halloween Classic Car Show) ambayo hufanyika kila mwaka katika mji wa Houston, kwenye jimbo la Texas nchini Marekani.

Comments