Rais Mstaafu Kikwete akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi


Rais mstaafu awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete, leo amemtembelea Mzee Raphael Semindu Simon, ambaye ni mwalimu aliyemfundisha darasa la kwanza katika shule ya msingi Msoga mwaka 1958.

Kikwete amesema amefika hapo alipo kutokana na mchango adhimu wa mwalimu huyo.

Comments