TANZIA: Mfanyabiashara Dkt. Reginald Mengi afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mteendaji wa Makampuni ya IPP Media, Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Mei 2, 2019 akiwa Dubai.



Hotmixmziray Media inatoa pole kwa familia ya marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pepa peponi.

Endelea kukaa nasi kwa taarifa zaidi.

Comments