Picha: Spika wa Bunge apata ugeni kutoka DCB on May 14, 2019 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Biashara ya ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Prof. Lucia Msambichaka (wa kwanza kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Comments
Comments
Post a Comment