Hizi ndizo mechi 10 walizobakiza Simba SC katika Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kwa msimu wa 2018/19.
Pia siku ya leo kikosi hicho kitaondoka Dar es Salaam kwenda Mbeya ambako kitacheza mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons.
Comments
Post a Comment