BREAKING: Man City mabingwa wapya Ligi Kuu Soka England, Liverpool wakosa kombe la kwanza kubwa 2018/19

Klabu ya Man City imefanikiwa kutetea kombe la ligi Kuu Soka England kwa ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Brighton kwa jumla ya alama 98 na kuiacha Liverpool nyuma ya alama 97.




Ushindi huo kwa sasa unawafanya Liverpool wakose taji hilo kwa zaidi ya miaka 18.

Comments