Fahamu Duka la Danny Shocky Silver Dealer

Danny Shocky Silver Dealer ni duka linalodili na uuzaji wa Cheni za kike na kiume , Blacelet za  kike na kiume,hereni za wakubwa na wadogo, pete za ndoa na za uchumba zinazotengenezwa kwa madini ya silver na bidhaa hizo zote zinatoka nchini Italy. Bidhaa hizo zipo katika ukubwa tofauti tofauti kulingana na ukubwa wa gram; Na kwa gram  moja ni shilingi 6000.

Duka hili linapatikana Makumbusho Complex Block B 1st floor (B1st-04) karibu na stendi ya mabasi .
Kwa mawasiliano zaidi 0718886448















Comments