Taarifa ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Kuhusu Kifo cha Mtangazaji wa Clouds, Ephraim Kibonde


Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dr. Thomas Rutachunzibwa katika taarifa yake, amesema Mtangazaji wa Clouds Ephraim Kibonde alifariki akiwa njiani kuhamishiwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Mwanza akitokea Hospitali ya Uhuru

Comments