Picha: Naibu Waziri Kanyasu kuboresha Makumbusho ya Mwl.Nyerere Butiama
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe.Constantine Kanyasu amesema Wizara kupitia Taasisi zake imejipanga kukikarabati na kukiendesha Kituo cha Makumbusho ya Mwalimu Nyerere, kwenye makazi ya Baba wa Taifa wilayani Butiama mkoani Mara.
Comments
Post a Comment