Jukwaa la Kuwezesha Wanawake Kiuchumi Mkoa wa Dar Es Salaam (JUWADA), kwa kushirikiana na mwanamitindo maarufu Bi.Khadija Mwanamboka kwa pamoja wametoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshirikiana nao kwa hali na mali kuhakikisha tunafanikisha tafrija yya “Tanzanite Women Forum & Lunch 2019
Comments
Post a Comment