Chumba cha Taifa Stars, Wachezaji walivyomuimbia Makonda baada ya ushindi. (+video)


Furaha haijaisha na bado shamrashamra zinaendelea kuanzia uwanjani mpaka barabarani, nyumbani mpaka baa… hii video fupi hapa chini ilirekodiwa kwenye chumba cha Wachezaji wa Taifa Stars wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alipoingia baada ya mechi ambayo Stars wameibuka na ushindi wa 3-0 vs Uganda.

Comments