Ikiwa hata wiki moja bado haijaisha toka mazishi ya rapa Godzilla yapite, Watanzania wasio waungwana wamedukua akaunti ya Insta ya marehemu za kuanza kuitumia kibiashara.
Watanzania amesikitishwa na kitendo hicho huku akizitaka mamlaka za serikali kama TCRA kufuatia suala hilo na kuchukua hatu.
Rapa Fid Q baada ya kupokea taarifa ya kudukiwa kwa akaunti hiyo aliandika Yaaah.. Yaani hatujafikisha hata wiki tangu tumpumzishe ndugu yetu kwenye makazi yake ya milele.. HACKERS washapita na page ya insta ya ZIZI..!!? 🙌🏽”
King Zilla alifariki wiki iliyopita akiwa katika hospitali ya Lugalo baada ya kuugua ghafla.
Maoni ya Watanzania.
Lyx27swizz “I asked Nikki mbishi the same shit thoo haku respond ambayo pia sio shda ila the shit iliniuma sana….tcra or ahusikae shud close dat”
Hassanally8 “Duh 😢😢 sad sana maana nikaona page Hii kwangu. Nikajiuliza nimei follow lini? Ikabidi ni unfollow. Kumbe ndiyo ilikuwa ya zizi Dah watu siyo wazuri. Kuna jamaa aliwahi kuuliza aisee hili suala.😢😢😢😢,”
Cool_yzoo “Leo ndo nimeamini kale ka usemi ukifa na chako kina kufa hata wiki badooo huu ni usenge alie Fanya ivooo ni mavi

Comments
Post a Comment