Uwoya kafunguka kuhusu chimbo jipya ‘Last Minute Bar and Lounge’


Mwigizaji Irene Uwoya FEB 22,2019 amezindua rasmi chimbo jipya kwa ajili ya watu wa nguvu kuenjoy, kunywa na kula ambapo Chimbo hilo linaitwa Last Minute Bar and Lounge iliyopo Sinza Mori Dar es Salaam.

Comments