Mwigizaji Steve Nyerere amerudi tena kwenye headlines leo February 19,2019 hii ni baada ya kutumia ukurasa wake wa instagrma kupost picha ya mwigizaji mwenzake Irene Uwoya na kuandika ujumbe ambao umewaacha wengi dilemma.
Steve Nyerere amepost picha ya Irene Uwoya akiwa amefanya make up na nyingine akiwa hana make up na kusema kuwa ameingalia picha hiyo zaidi ya mara 30000000000000000 huku comments za mashabiki zikidai kuwa ametumia lotion ya kujniongeza weupe.
Steve Nyerere ameandika “DAAAAAAAAAA HiiiiiiiiI LAST MINUTE,.Walahi Nimekuangalia mara 30000000000000000 Nimejikuta nasema NO LONG PATISPET @ireneuwoya8″
Comments
Post a Comment