Hii ndio 16 bora ya UEFA Europa League msimu wa 2018/19


Baada ya kumalizika kwa game za hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2018/2019 usiku wa jana, leo UEFA walichezesha tena droo ya game za hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.

Pamoja na michuano hiyo kwa Tanzania kuwa na simanzi kutokana na timu yao aliyokuwa anaichezea mtanzania mwenzao Mbwana Samattta, club ya KRC Genk, wapinzania wao waliowatoa wameangukia chini ya club ya Sevilla ya Hispania.

Comments