Vyama vitatu vya siasa nchini, CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo vimetuma salamu za rambi rambi kwa familia ya aliekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba aliefariki dunia Afrika Kusini.
Chama cha @ACTwazalendo kinaipa pole Familia ya Ruge Mutahaba, Clouds Media Group na tasnia ya habari kwa ujumla kwa kuondokewa na mpendwa wetu. Mchango wake kwenye tasnia ya habari umeacha alama ya kudumu. RIP. @zittokabwe
Comments
Post a Comment