Msanii anaekuja kwa kuchipukia kwa sasa ambae amekuwa akisapotiwa na Ben pol amemkingia kifua bosi wake na kusema kuwa Ebitoke atakuwa na mapungufu ya akili baada ya mwanandada huyo kufunguka na kusema kuwa ben pol analelewa na mwanamke.
Wyse anasema kuwa kuna watu wamekuwa wakionekana wakiongea vitu kuhusu watu wengine na kuaminika wakati hawajulikana hali zao za kiakili inawezekana wakawa na matatizo ya akili bila kujua.
mimi siamini katika hilo wanalosema, atakuwa tu labda aliteleza na mimi naona kuwa hawa wanaosema watakuwa ni mapunguani na wanaupungufu wa akili watu hawamjui wanamuona ona tu na unaanza kuongea ongea ila mimi ninajua ben pol anafanya show na watu mnaona kabisa.
Wyse na Ben pol wamekuwa wakifanya kazi pamoja kwa muda sasa na hata katika moja ya nyimbo yake ya BADO KIDOGO ambayo imefanya vizuri.
Comments
Post a Comment