Muigizaji nguli wa filamu Salome Nonge alimaarufu kama mamaabduli,mwantumu mcharuko amefariki dunia leo. Msiba upo nyumbani kwake mburahati jijini Dar es salaam na mipango inaendelea hapo nyumbani kwa marehemu. Mama abdul alizaliwa mwaka 1962 .
Bwana ametoa na bwana ametoa ,
Comments
Post a Comment